First year bana..!! Umeshindwa kushauliwa na wajomba, na kaka zako nyumban unataka kushauliwa humu....!?!! Tatizo sio course gani inapessa na ajira tatzio ni course gani ipo ndani ya uwezo wako...... Usichague course kwa fashion utaingichochi halafu ukadisco...!!! So better consider possibilities
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums