Kiukweli singo anazingua tena sana mana ukiwa first year atawazingua sana first notice hatoi na anafundisha haeleweki kabisa na bt ukijiandaa kupiga msuli wako private kama mtoto wa kata dit hapasumbui bt ukiwa wa kishua mhh!!!!! 2taona mbele ya safari. Kuhusu hostel zipo pale dit japo hazitoshi na changombe kwa first yea bt ukiwa udwanzi kukaa na watoto wa dip unaingia zako kitaa hasa upanga, kariakoo na pocta wish mmenipata fresh