samuel faraj
JF-Expert Member
- Jan 5, 2013
- 1,326
- 1,266
Msaada jamani Mimi ni graduate engineer(civil engineering) natafuta kazi yeyote mwenye msaada kwa hili naomba anisaidie.Natanguliza shukurani
Angalia matangazo ya VIETEL unaweza kupata sehemu ya kuanzia
Mkuu hao vietel wanatoa mshahara laki4 regardless ya professional yako nishawafatilia
Jamaa anazingua maana alianza kusema kazi yoyote
Wewe ndiyo huna vision kabisa. Watu walianza na posho ya elf5 kila siku na hiyo haina mshahara wala extra duty ok? Walipata exposure, experience, wenyeji wa mazingira etc. Mwaka tu baadae leo wanapiga 2.5m take home. Sasa kaa hapo na mavyeti yako ukisubiri huo mshahara mkubwa unasikia mdogo wangu?
mshahara wenyewe hujawahi pata ndo kwanza unaanza kazi alafu unaanza kudharau laki nne................
Angalia matangazo ya VIETEL unaweza kupata sehemu ya kuanzia
Maisha kila Mtu na msimamo wake bro usitake unachokiamini wewe na mimi nikiamini ata professional society zetu hazitaki engineer uchukue mshahara wa laki 4
Jaribu u-search humu, kuna post ya VIETEL utapata mwanga, muda mwingi wanatafuta watu.vietel ndio akina nani... msaada mkuu
Engineer kulipwa laki nne nidharau kwa fani
Uko society gani wewe? Unatoka shule leo unataka mshahara wa proffesionals wakati wewe ni graduate? Angalia scales za mishahara za serikali ndipo akili itacharge
Mjadala umefungwa..jamaa hataki kazi anasumbua watu