True Ink Associates itaandaa CISA Mock Exam itakayofanyika siku ya Jumamosi tarehe 28/05/2016 kuanzia saa 4 asbh hadi saa 8 mchana.
Hii ni kwa ajili ya kuwaandaa watahiniwa wanaohitaji kufanya mtihaniwa mwezi June ana September 2016.
Malipo ni 50,000/=
kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kupitia 0713 451713 or 0764 978313.
karibuni wote