Ni Kampuni inaitwa Royal Computers Tanzania LTD. Fee ni TSZ 800,000/= tunatoa Current manual ya 2014/2015, Questions, answers and explanation Book yenye practice questions 1,200, na tunatoa CD ya maswali na majibu. Madarasa yako pale Raha Tower, Second Floor. Na darasa ni week 5, kwa maana kuwa kuna chapter 5 ambazo kila chapter tunaifundisha kwa week moja, darasa lipo kuanzia saa 11 jioni hadi saa 2 usiku. na tuna case studies mbalimbali kuhakikisha tunatoa wigo mpana kwa mtu kuelewa na kufaulu mtihani... na kuhusu gharama za mtihani hizo ziko exclusive na hiyo fee...