Cinema 4d tutorial and sofware kwa bei rahisi kabisa,

Nicetas Mtey

New Member
Joined
Dec 1, 2013
Posts
4
Reaction score
1

Habari za kazi ndungu zangu.... najua mtakuwa mmechoka na majukumu ya hapa na pale.. Mimi ni mdau nimeamua kujitolea Sofware ya CINEMA 4D vision zote kuanzia C4D R 12 hadi C4D R15, Pia ninazo Tutorial zote zitakazokuwezesha kujifunza 3D hata kama hujui chochote zitakuongoza mapaka utafikia malengo yako. C4D ni miongoni mwa Sofware inayotambulika duniani kwenye utengenezaji wa Film n.k. Pia katika orodha ni ya Tatu(3) kwa kutumiwa zaidi duniani.

Kwa maelezo hayo machache ninakupa fursa ya kukupa maelekezo namna ya kufanya installation katika mashine yako na Requament zinazohitajika kwenye PC ama LAPTOP YAKO.

Tafadhali hii ni kwaajili ya waliopo MKOA wa Dar-es-Salaam tu. Kumbuka utachangia gharama kidogo, Kuchukua SOFTWARE na TUTORIAL ZENYEWE.

kwa maelezo zidi usisite kuwasiliana na mimi kwenye nambari hii:

0657684102
Whatsapp;- 0657684102

Zingatia kama wewe ni Graphics Designer ni lazima Uijue hii kitu kwani itakusaidia kujifunza kwa upana na hata namna ya kufanya ANIMATION.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…