B Bush Dokta JF-Expert Member Joined Apr 11, 2023 Posts 36,629 Reaction score 61,367 May 24, 2023 #21 kishikaone said: Naomba kuuliza nko kwenye process za mwisho kuagiza gari yangu japan. SWALI. CIF ya gari ni kubwa kuliko estimation kodi ya TRA.mfano.CIF ya gari MIL 7.KODI TRA MIL 4.5.JE TRA watatumia hiyohiyo 4.5mil au itsongezeka? Ipi I atakuwa iwe kubwa? Cif ya gari au TRA culculator? Click to expand... Used Motor Value calculator inatumika kama guide. Hata ikitokea mabadiliko yatakuwa madogo sana. Kwa makadirio TRA wanatumia hiyo CIF custom value most of time inakuwaga kubwa kidogo na ile value uliyoagiza wewe.
kishikaone said: Naomba kuuliza nko kwenye process za mwisho kuagiza gari yangu japan. SWALI. CIF ya gari ni kubwa kuliko estimation kodi ya TRA.mfano.CIF ya gari MIL 7.KODI TRA MIL 4.5.JE TRA watatumia hiyohiyo 4.5mil au itsongezeka? Ipi I atakuwa iwe kubwa? Cif ya gari au TRA culculator? Click to expand... Used Motor Value calculator inatumika kama guide. Hata ikitokea mabadiliko yatakuwa madogo sana. Kwa makadirio TRA wanatumia hiyo CIF custom value most of time inakuwaga kubwa kidogo na ile value uliyoagiza wewe.
luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,361 Reaction score 6,967 Jun 27, 2023 #22 Bugucha said: Safi sana,sasa kama CIF ya gari ni Tsh. 4,500,000 hapo TRA wataacha hiyo 4,500,00 na kuchukua hiyo TOTAL TAXES TSH.7,742,827+7,742,827. Badala ya TSH.7,742,827+4,500,00. Kama nimekosea naomba kurekebishwa🙏🙏 Click to expand... Sass hapo maana hake ni kwamba TRA ushuru wa gari ni thaman ya iyo gari uliyo agiza ?
Bugucha said: Safi sana,sasa kama CIF ya gari ni Tsh. 4,500,000 hapo TRA wataacha hiyo 4,500,00 na kuchukua hiyo TOTAL TAXES TSH.7,742,827+7,742,827. Badala ya TSH.7,742,827+4,500,00. Kama nimekosea naomba kurekebishwa🙏🙏 Click to expand... Sass hapo maana hake ni kwamba TRA ushuru wa gari ni thaman ya iyo gari uliyo agiza ?
KISHINDO JF-Expert Member Joined Jun 23, 2013 Posts 2,203 Reaction score 1,957 Jun 27, 2023 #23 luangalila said: Sass hapo maana hake ni kwamba TRA ushuru wa gari ni thaman ya iyo gari uliyo agiza ? Click to expand... Wakati mwingine ushuru wa TRA unakuta ni milioni 12 wakati gari umelinunua milioni 10. Hao ndo TRA wa bongo Dasilamu
luangalila said: Sass hapo maana hake ni kwamba TRA ushuru wa gari ni thaman ya iyo gari uliyo agiza ? Click to expand... Wakati mwingine ushuru wa TRA unakuta ni milioni 12 wakati gari umelinunua milioni 10. Hao ndo TRA wa bongo Dasilamu
luangalila JF-Expert Member Joined Jan 12, 2014 Posts 6,361 Reaction score 6,967 Jun 27, 2023 #24 KISHINDO said: Wakati mwingine ushuru wa TRA unakuta ni milioni 12 wakati gari umelinunua milioni 10. Hao ndo TRA wa bongo Dasilamu Click to expand... 😀Kwa biyo hakunaga formality,..
KISHINDO said: Wakati mwingine ushuru wa TRA unakuta ni milioni 12 wakati gari umelinunua milioni 10. Hao ndo TRA wa bongo Dasilamu Click to expand... 😀Kwa biyo hakunaga formality,..
Mavindozii JF-Expert Member Joined Oct 20, 2012 Posts 2,110 Reaction score 2,786 Jun 27, 2023 #25 Shacman Attachments Screenshot_2023-06-21-17-30-57-324_com.android.chrome.jpg 51 KB · Views: 29