Joel kaigarula
Member
- Jun 3, 2014
- 28
- 16
Kuna jamaa nimesoma nae anaitwa Mohamed Muller!!
Jamaa kapima magonjwa sana,kulikua na Padri Mzungu alisema atamsomesha,but sharti la kwanza akapime afya yake,kumbe walikua wanaenda kupima DNA kama anavinasaba na Yule Muller waliokua wanamsaka!! Hawa jamaa sio!
Duh! Ilikua wapi hiyo mkuu? Na mwisho wa siku ilikuaje, huyo padri alimsomesha jamaa au?
Kuna jamaa nimesoma nae anaitwa Mohamed Muller!!
Jamaa kapima magonjwa sana,kulikua na Padri Mzungu alisema atamsomesha,but sharti la kwanza akapime afya yake,kumbe walikua wanaenda kupima DNA kama anavinasaba na Yule Muller waliokua wanamsaka!! Hawa jamaa sio!
Juzi hapa nilisikia BBC wakisema walianzisha chanjo za watoto za polio nchi za Kiarabu kama msaada. Majuzi wakakiri kuwa CIA walikuwa wanataka DNA ili kumnasa Osama. Yaani mashirika ya hawa jamaa hata kama unaona wanakusaidia, basi jua kuna jambo ndani yake. Hata makampuni yao ya uwekezaji, basi utakuta Chief Executive Officer ni Jasusi. Hamna msaada utolewao bure na hawa jamaa bila Interest, lazima wana maslahi! Eti wakupe msaada kwamba wamekupenda, hiyo kitu hawa jamaa sahau.
Cia^4 4=4