CIA sends out first tweet

simplemind

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2009
Posts
16,786
Reaction score
9,719
Agency says 'we can neither confirm nor deny that this our first tweet'
 
Hao jamaa wamekaa kimitego sana
 
where is that CIA's first tweet?.could you pls paste it here.
 
Tufafanulie mkuu, first tweet maana yake nini?

Ina maana shirika la ujasusi la marekani imefungua akaunti ya twitter na hiyo ndio tweet ya kwanza ambayo kiutani wanasema hawawezi kudhibitisha au kukanusha ndio tweet yao ya mwanzo. Handle ya account hii #cia .
 
Ina maana shirika la ujasusi la marekani imefungua akaunti ya twitter na hiyo ndio tweet ya kwanza ambayo kiutani wanasema hawawezi kudhibitisha au kukanusha ndio tweet yao ya mwanzo. Handle ya account hii #cia .

for intelligence system like that, i think it does not need to have twitter account. Actually all social networks designed in US and some from different countries are being monitored by CIA/FBI. They can filter any information they want from twitter, facebook, google, hotmail etc. Even in this Jamii Forums contents..........
 
Last edited by a moderator:

Why think so...
 
Ukiwa follow tu umo kwenye udukuzi
 

Monitoring is far different from having a social media presence.
 
[video=youtube_share;goqo57sMOes]http://youtu.be/goqo57sMOes[/video]

​CIA Creates Twitter and Facebook Accounts
 

Jamii forum Hawawezi kudukua humu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…