CIA Director admitts USA trying to overthrow Venezuelas elected Government!

Barbarosa

JF-Expert Member
Apr 16, 2015
22,584
27,786
Habari ndiyo hiyo, Mkuu wa CIA anasema USA inashiriki kuipindua Serikali ya nchi ya Venezuela, Serikali iliyochaguliwa kidemokrasia kwa njia ya kura, cha ajabu kuliko vyote Wabunge na Maseneta wa USA wanataka kumshitaki Raisi D.Trump kwa tuhuma za Urusi kuingilia mambo ya ndani ya USA!

,,The director of the CIA has said ‘The CIA and the US government work in direct collaboration with the Mexican government and the Colombian government to overthrow the constitutional government in Venezuela and to intervene in our beloved Venezuela"


CIA chief hints agency is working to change Venezuelan government
 
Mbona hata ninyi naskia mnataka kuingilia ule wa Kenya?
Halafu wewe Barbarosa mbona sijaona sehemu ambayo Pompeo amekiri kwamba wanataka kupindua serikali ya Venezuela?
 
Back
Top Bottom