Yaani wewe huna tofauti na yule anayesema jamani nahitaji usafiri wowote ilimradi nifike niendako sababu sina jinsi. Embu jipambanue na uongeze basi chenye sifa, maana mkiambiwa tunahitaji wenye MBA na wewe uwepo, hivi vyeti vyenu hivi kama vya kuna Le Mutuz hapa jamani tutaonana wabaya.