DIFFENDA Senior Member Joined Jun 23, 2013 Posts 124 Reaction score 53 May 14, 2021 #1 Habari, Ninaomba kujua chuo Tanzania kinachotoa degree ya Mass Communications kwa holiday studies, yaani unajisomea nyumbani unakuwa unaenda kufanya mtihani. Ahsante
Habari, Ninaomba kujua chuo Tanzania kinachotoa degree ya Mass Communications kwa holiday studies, yaani unajisomea nyumbani unakuwa unaenda kufanya mtihani. Ahsante
Jick JF-Expert Member Joined Jan 15, 2014 Posts 1,445 Reaction score 2,259 May 14, 2021 #2 DIFFENDA said: habari. ninaomba kujua chuo cha tz kinachoto degree ya mass communication kwa holiday studies yaani unajisomea nyumbAni unakuwa unaenda kufanya mtihani ahsante Click to expand... Nenda Open University of Tanzania
DIFFENDA said: habari. ninaomba kujua chuo cha tz kinachoto degree ya mass communication kwa holiday studies yaani unajisomea nyumbAni unakuwa unaenda kufanya mtihani ahsante Click to expand... Nenda Open University of Tanzania