Chuo kikuu cha University ndio nini?

King Kong III

Platinum Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
64,380
Reaction score
99,179
Mh Speaker unatuchanganya,umechemka hapo ulipomtambulisha huyo aliyepata PHD kutoka china,kwanin usingesema amepata kutoka chuo kikuu cha xxx basi na sio amepata phd kutoka chuo kikuu xxx university!

Nawasilisha.
 
Muonee huruma tu maana Mheshimiwa Sugu aliwashika pabaya.
 
Anajzba sana!!!! she is emotionally unstable msamehe...
 
Mh Speaker unatuchanganya,umechemka hapo ulipomtambulisha huyo aliyepata PHD kutoka china,kwanin usingesema amepata kutoka chuo kikuu cha xxx basi na sio amepata phd kutoka chuo kikuu xxx university!

Nawasilisha.

Hii nayo ni thread kweli JF imekuwa uwanja wa fujo sasa hapa unawasilisha nini?
 
Baadae alikitaja , alitaja kitu kama Shanshang .
 
Lugha gongana......Kiswanglish

utaelewa tu ukichanganya lugha mbili bila mpangilio.
 
Hii nayo ni thread kweli JF imekuwa uwanja wa fujo sasa hapa unawasilisha nini?

Ficha upumbavu wako onyesha hekima yako---Invisible

ritz hii ni sredi pia lengo ni kuwekana sawa yeye ni kiongozi mkubwa makosa kama yale yashazungumzwa sana ni sawa mtu aseme barabara ya kilwa road? Hospitali ya muhimbili Hospital? Chuo kikuu cha shangshang university? Najua wewe ni mchumia tumbo lkn kuna mambo mengine tumia hata 0.0001% ya akili yako sio mda wote kubwabwaja.
 
"Ushabiki Mandazi~Source MTM"
 
mh speaker unatuchanganya,umechemka hapo ulipomtambulisha huyo aliyepata phd kutoka china,kwanin usingesema amepata kutoka chuo kikuu cha xxx basi na sio amepata phd kutoka chuo kikuu xxx university!

Nawasilisha.
kakosea kisarufi...ila thread yako nyepesi sana
 
kakosea kisarufi...ila thread yako nyepesi sana
Akina mama wa kikundi cha umoja group wata demonstrate wakiwa wanaandamana kutoka barabara ya morogoro hadi kwenye junction zinapoungana na barabara ya mandela road
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…