D___________Loy Senior Member Joined Jan 21, 2020 Posts 190 Reaction score 205 Mar 22, 2023 #1 Habari wanajukwa, Nina ndugu yangu ambaye anahitaji kusoma Shahada ya Umahiri (Masters) katika fani ya Elimu Maalum (MA Special Education Needs). Je, ni chuo gani hapa Tanzania kinatoa fani hii?
Habari wanajukwa, Nina ndugu yangu ambaye anahitaji kusoma Shahada ya Umahiri (Masters) katika fani ya Elimu Maalum (MA Special Education Needs). Je, ni chuo gani hapa Tanzania kinatoa fani hii?
Asalamaleko JF-Expert Member Joined May 10, 2015 Posts 3,288 Reaction score 9,225 Mar 22, 2023 #2 Vijana wa Tz kuweni serious basi... Umesoma hadi Degree, hujui kutafuta Chuo kinachotoa elimu unayotaka kujiendeleza nayo..? Hiyo ni dalili ya kutojitambua...
Vijana wa Tz kuweni serious basi... Umesoma hadi Degree, hujui kutafuta Chuo kinachotoa elimu unayotaka kujiendeleza nayo..? Hiyo ni dalili ya kutojitambua...
Udochi JF-Expert Member Joined Jul 25, 2015 Posts 1,077 Reaction score 1,583 Apr 8, 2023 #3 D___________Loy said: Habari wanajukwa, Nina ndugu yangu ambaye anahitaji kusoma Shahada ya Umahiri (Masters) katika fani ya Elimu Maalum (MA Special Education Needs). Je, ni chuo gani hapa Tanzania kinatoa fani hii? Click to expand... Kwa Tanzania kiliwepo chuo cha SEKOMU, Kilipofungwa hicho kwa sasa hakuna kingine. Aende Kyambogo University - Uganda, au vyuo vingine vya nje. Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app
D___________Loy said: Habari wanajukwa, Nina ndugu yangu ambaye anahitaji kusoma Shahada ya Umahiri (Masters) katika fani ya Elimu Maalum (MA Special Education Needs). Je, ni chuo gani hapa Tanzania kinatoa fani hii? Click to expand... Kwa Tanzania kiliwepo chuo cha SEKOMU, Kilipofungwa hicho kwa sasa hakuna kingine. Aende Kyambogo University - Uganda, au vyuo vingine vya nje. Sent from my TECNO LC6a using JamiiForums mobile app