Chuo gani kinanifaa,ushauri tafadhali!

Chuo gani kinanifaa,ushauri tafadhali!

Ayubu Mahega

New Member
Joined
Sep 6, 2017
Posts
3
Reaction score
1
History C
Kiswahili C
English D
Geography D
Civics D
Biology D
Chem F
Phyaics F
B/Maths F
Wadau tafadhali mnishauri kwa ufaulu huo naweza kwenda chuo gani?
 
Ningeomba kabla ya kwenda chuo karekebishe izo Fwaa, Fwaa,Fwaa
 
Omba chuo cha ualimu Astashahada hakika utapata kulingana na matokeo yako acha kuvunjika moyo ww songa mbele kuna watu wanasoma ualimu vyeti vyao havina hata C sembuse ww mkuu,tena wahi kabisa kabla Nacte hajafunga Dirisha
 
Huo ni ufaulu au ufeliji..... .....nenda JKT mkuu.
 
Back
Top Bottom