Hamna chuo kinachofundisha ufundi wa pikipiki Tanzania hii kwa sasa.
Mtaftie kijiwe ambacho kina mafundi wanaokubalika na bodaboda umweke hapo. After 6months atakuwa vizuri Sana Kama kichwa ni chepesi.
Ili aelewe zaidi hiyo fani,mtaftie smartphone ya kueleweka ili awe anapitia video za theory ya ufundi pikipiki youtube.
Kwa kifupi garage ndio ataelewa haraka kuliko kwenda kukaa darasani.