bakari hemedi
Member
- Aug 21, 2014
- 17
- 1
mkuu muda ni miaka mingapi kwa hao wa div.4?Chuo kina chukua wanafunzi wenye div1 hadi div4 ya 34 ya mwaka2013, chuo kinatoa kozi ya ualimu ngazi ya cheti(grade A) na ualimu wa chekechea, chuo kina walimu waliobobea ktk taaluma ya ufundishaji na hakija wahi felisha mwanafunzi, ada ya day ni laki7 na unaweza lipa kidogokidogo na boarding ni milio1 na laki 2, nafasi bado zipo za kutosha, kwa mawasiliano zaidi piga cm 0764354980
Chuo cha ualimu maurice kipo mbagala Dar, hakijawahi kufelisha mwanafunzi tangu2009 hadi leo. Ada kwa day ni laki7 na boarding ni million 1 na laki2. Kinatoa walimu wa Grade A(ngazi ya chet) na walimu wa chekechea. Wahi nafasi zipo. 0764394580
Vp chuo hicho kinachukua wale wa mafunzo kabilishi ya mwaka mmoja,ili ajiunge na ngaz ya cheti
Wanachukua kuanzia point ngapi kwa mafunzo ya tarajishi kwa mwaka 2009/2012,wale wa mwaka mmoja,ili apate sifa ya kujiunga na ngazi chet darj la 3A
Chuo cha ualimu maurice kipo mbagala Dar, hakijawahi kufelisha mwanafunzi tangu2009 hadi leo. Ada kwa day ni laki7 na boarding ni million 1 na laki2. Kinatoa walimu wa Grade A(ngazi ya chet) na walimu wa chekechea. Wahi nafasi zipo. 0764394580
Kwani kuna chuo kinachofelisha?
Samahani naomba kuuliza kwa sasa pia mnachukua wanafunz??? Na ada kwa ualim wa chekechea n hyohyo ama vpChuo cha ualimu maurice kipo mbagala Dar, hakijawahi kufelisha mwanafunzi tangu2009 hadi leo. Ada kwa day ni laki7 na boarding ni million 1 na laki2. Kinatoa walimu wa Grade A(ngazi ya chet) na walimu wa chekechea. Wahi nafasi zipo. 0764394580
Mi Naomba kuuliza kuwa kwa mwaka huu Mnachukua mwisho daraja LA ngapiChuo cha ualimu maurice kipo mbagala Dar, hakijawahi kufelisha mwanafunzi tangu2009 hadi leo. Ada kwa day ni laki7 na boarding ni million 1 na laki2. Kinatoa walimu wa Grade A(ngazi ya chet) na walimu wa chekechea. Wahi nafasi zipo. 0764394580