Chuo cha St Joseph na St Francis ifakara

Vijana siku hiz waonapata one ni wengi na ni kali tuu, kiasi inaibua ushindani mkubwa sana. Hata hizo private watu wanakosa nafasi.......Form six imekua mdebwedo amini kwamba
 
Vijana siku hiz waonapata one ni wengi na ni kali tuu, kiasi inaibua ushindani mkubwa sana. Hata hizo private watu wanakosa nafasi.......Form six imekua mdebwedo amini kwamba
Mimi ndio nilichokua ntka kusema Lakini mtu aleta ujuaji kama nini sjui.
Hali ya elimu sio nzuri
 
One point 5 ni ABB Hakosi kozi yoyote anayotaka chuo chochote Duniani kasoro Harvard ndio wanamchujo kabla ya kuingia
Umefanya uchunguzi kujua ni wangapi wamepata hizo one za 5 za pcb?. Kupata admission ni ufikishe tuu minimum requirements ila competition itaamua upate au ukose. Miaka yetu ambayo hizo division zilikua chache ilikua rahisi kupata vyuo pendwa ila saizi inabidi mwanafunzi afanye applications vyuo vingi ili kujihakikishia kupata kozi aipendayo.

Miaka kadhaa nyuma kuna kijana alipata 1.7 pcb akadanganywa na graduate wa kitambo kuwa hawezi kosa chuo ila akajikuta anaenda chuo cha private tena kusoma kozi ambayo hakuweka first choice.
 
Mimi ndio nilichokua ntka kusema Lakini mtu aleta ujuaji kama nini sjui.
Hali ya elimu sio nzuri
Tatizo letu ni kufikiri dunia imebaki kulekule tulipokua zamani. Miaka ya nyuma (2013 kurudi nyuma) PCB walikua wachache kuliko PCM na ufaulu haukua mkubwa sana na competition ilikua ndogo. ila sasa wanaosoma pcb ni zaidi ya mara 2 ya pcm na ufaulu ni mkubwa so competition ni kubwa zaidi.
 
This umeelezea vizuri sana nachukia wazee wanavyokuwa wabishi bila sababu
 
Ubarikiwe mno
 
One point 5 ni ABB Hakosi kozi yoyote anayotaka chuo chochote Duniani kasoro Harvard ndio wanamchujo kabla ya kuingia
Nimeleta mrejesho....

Hakuna one ya point 5 aliyechaguliwa md kwa chuo cha muhas, 5 wote wametupwa DDS.... 💔💔
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…