Chuo cha NIT na utendaji mbovu

Aliyeanzisha mada ameianzisha kama analalamika lakini mwishoni mwa malalamiko yake anaonesha hajui lolote na anaomba msaada wa kujuzwa. Kulikuwa na ugumu gani kuuliza hiyo hoja yako idarani kwako na wala sio kwa mkuu wa chuo. Mlipokuja kuuliza kama ratiba ya cs ipo mkaambiwa mnatumia ya it mngeuliza hapohapo kwa nini mtumie ya it. Inaacha kuuliza sehemu husika unakimbikia jf. Vyuo haviendeshwi na jf. Na hata suala la jengo unalileta hoja yake halipo kwenye matangazo
 
Aliyeanzisha mada ameianzisha kama analalamika lakini mwishoni mwa malalamiko yake anaonesha hajui lolote na anaomba msaada wa kujuzwa. Kulikuwa na ugumu gani kuuliza hiyo hoja yako idarani kwako na wala sio kwa mkuu wa chuo. Mlipokuja kuuliza kama ratiba ya cs ipo mkaambiwa mnatumia ya it mngeuliza hapohapo kwa nini mtumie ya it. Inaacha kuuliza sehemu husika unakimbikia jf. Vyuo haviendeshwi na jf. Na hata suala la jengo unalileta hoja yake halipo kwenye matangazo ya codes za majengo na hiyo ni kumaanisha kuwa awali kuna jengo mlipangiwa kusoma ila baadae likabadilishwa kwa sababu moja au nyingine. Mwaka 2007 udom ilifunguliwa ikiwa na jengo moja tu la chimwaga likitumika kwa shughuli za ofisi zote na madarasa kwa kozi zote. My dears kama mmejiandaa kuendesha shule kwa kupitia jf, jifikirieni upya. Ipo siku mtatafuta muda wa test jf
 


Mkuu, hapo kwenye bold & underlined, unamaanisha nini? Tafadhari kaka naomba ufafanue kidogo.
 
Asante kwa kupost kwa mara ya kwanza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…