Habari za leo ndugu. Natumai mu buheri wa afya. Wadau, naomba kujuzwa chuo Cha kufundisha kunyoa (vinyozi) kwa hapa Dar, kinapatikanaa sehemu gani, au kinaitwaje? Natumai mtanisaidia kwa hili. Karibuni.