herikipaji
JF-Expert Member
- Aug 23, 2016
- 1,199
- 1,377
Hadi leo chuo cha CBE hawajatuma taarifa za wanafunzi wa diploma NACTE .Utaratibu ni inatakiwa taarifa za mwanafunzi aliyehitimu zitumwe NACTE kwa haraka muda huu wa kuomba vyuo ili mwanafunzi husika apewe AVN (award verification number)ambayo ataitumia kuomba chuo chochote atachokua anataka kusoma.
Ili kupata hiyo AVN ni lazima chuo kitume taarifa za taaluma za mwanafunzi NACTE na CBE wamekua hawatumi taarifa kusudi ili watu waamue kurudi pale kwao baada ya kusumbuka sana kupata AVN bila ya mafanikio.
Wanafunzi waamue kuwaachia wao wenyewe CBE wawafanyie maombi bure ya kurudi pale pale sasa kwa wanafunzi wanaotaka kusoma chuo kingine inakua tabu sana au wanafunzi walio mbali na CBE ambao wanataka kuomba chuo online.
Uongozi wa chuo cha CBE Dodoma branch haya mnayofanya siyo sahihi, sasa tumeni hizo taarifa NACTE kama mnavohitajika kufanya.