I knw nothing, bt vip kwa MTU aliyesomea computer science engineering, Na ndan yake kuna masomo ya physics Na chemistry, mathematics Na akafaulu vzur hku cheti chake cha form 4 kina pass ya bios anaweza anzia ngaz gan ya kusomea famasia yan diploma au degree