L Lazmas JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 561 Reaction score 111 Aug 11, 2017 #1 Wadau naomba kujulishwa chuo bora zaidi cha kufundisha upishi kwa ngazi ya cheti/diploma, jijini Dar au hata Kibaha. Kiwango changu cha elimu ni shahada.
Wadau naomba kujulishwa chuo bora zaidi cha kufundisha upishi kwa ngazi ya cheti/diploma, jijini Dar au hata Kibaha. Kiwango changu cha elimu ni shahada.
Dampa JF-Expert Member Joined May 29, 2017 Posts 810 Reaction score 1,265 Aug 12, 2017 #2 Ngoja wapishi waje Mrithi
L Lazmas JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 561 Reaction score 111 Aug 12, 2017 Thread starter #3 Dampa said: Ngoja wapishi waje Mrithi Click to expand... Natamani waje fasta, nataka nijipange ili nianze masomo mwaka huu
Dampa said: Ngoja wapishi waje Mrithi Click to expand... Natamani waje fasta, nataka nijipange ili nianze masomo mwaka huu