Chunya, Mbeya: Tetemeko la ardhi

Smiling killer

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2018
Posts
1,289
Reaction score
1,126
Dakika chache zilizopita limepita tetemeko maeneo ya chunya mkoa wa mbeya na mkoa wa songwe!...kwa maeneo niliyopo hamna madhara labda mbele huko!ni tukio la kuogofya sana
 
Dakika chache zilizopita limepita tetemeko maeneo ya chunya mkoa wa mbeya na mkoa wa songwe!...kwa maeneo niliyopo hamna madhara labda mbele huko!ni tukio la kuogofya sana
Poleni.......
 
Hata mbeya mjini nasikia limepita ila halijasabibisha madhara
 
Dakika chache zilizopita limepita tetemeko maeneo ya chunya mkoa wa mbeya na mkoa wa songwe!...kwa maeneo niliyopo hamna madhara labda mbele huko!ni tukio la kuogofya sana
Poleni Sana sie huku Kwetu GEITA tushayazoea!!
 
msilale ndani wekeni majamvi nje kwa Usalama zaidi Poleni lakini
 
Wengine wanasema linaelekea Dar wengine wanadai jinsi linavyoonekana linaweza ishia tu hapo Morogoro.

Mkuu ulitaka lifike huko uliko? Inategemeana na ratiba ndugu yangu.huwa hayapangiwi route.

Linaelekea wapi mkuu?
 
Mweh Mweh.....[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji115]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kwanini magufuli tangu awe "rahisi" anaogopa kwenye mkoa wa Mbeya ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…