Chunusi zinanikosesha mke

mi sio mtoto bhana,,nimekua toka kitambo

Ikiwa umekua na bado ukawa unaambia watu wazima mambo ya kitoto, basi kukua kwako hakujakusaidia kitu! Kukua hatuhesabu birthdays tu,bali na uwezo wa mtu kujitambua!
 
Dah inasikitisha, pole sana mdogo wangu. Tafuta hela kwanza. Ungekua na hela hizo chunusi zisingeonekana. Ki ukweli uyo dem kakuzarau sana sasa kumkomeshq nipe namba zake ntamfundisha adabu
 
Dah inasikitisha, pole sana mdogo wangu. Tafuta hela kwanza. Ungekua na hela hizo chunusi zisingeonekana. Ki ukweli uyo dem kakuzarau sana sasa kumkomeshq nipe namba zake ntamfundisha adabu

nikupe namba..?
 
Dah, hii dunia ya leo yaani ni shida kweli, kwa hiyo umekuja kutuuliza hapa kama umekataliwa au la! Hivi hapa ndo pana majibu? Kwa nini usimuulize muhusika ili ujue unafanyaje?
 
Uko wapi ni pm uje uione nikuandikie dawa
 

Umeelezea vizuri mkuu..nmeipenda!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…