mhhhhh.........umbea tu!!! binadamu wangapi wamefia baharini/maziwani na uvuvi bado unaendelea!!!
vinyesi vingapi vya aina zote zya vyakula, mataputapu, etc vinaishia huko!!
uchafu wooote unamwagiwa baharini..............
Boflo umpeleke pale kwenye mishkaki ya nundu. Sijui atakula kweli maana
MziziMkavu analetaga topic za dayati balaa