Hii ni serious kidogo, kama huna mchango ni vyema ukapita sio laziama useme , sasa back to topic nina mke ambaye nina miaka naye kadhaa na sijawahi kutoka nje ya ndoa pia yeye naamini vivyo hivyo huwa tunaridhishana na kufurahishana kwa njia mbalimbali ikiwamo kuzama chumvini na kulamba koni, sasa kama wiki imepita nilizama chumvin na nahisi nimepata fangasi za mdomo baada ya kugundua tofauti ya kinywa nikipiga mswaki pia nikila chakula hata mwenzangu ana hali kama yangu , naomba msaada tafadhari dawa gani inaweza kunisaidia kutibu haya maradhi.......... nawasilisha.
Nenda kwa dr atakuhudumia au unaona aibu??
anapoteza mda kuandika hum badala kuwah hospital ngoja kansa ya koo impate ndo atakujua mambo mengine watu hujafanya kwa kuiga matatizo ndo hayoAinaaibuu ile.mkuu itasemayote.unavyoteseka
haijatoka nje sio rahisi kuiona nashukuru kwa ushauri wakoLete picha pls magonjwayafungus yako.mengi ukituwekea rahisikuona.na.kujua.wapi.kuanza
Kwa kuanzia.nunua dawa ya argumentine meza.fulldose we na.mkeo fulldose..alafu mnunue dawa inaitwa dacktarin.jel hii unaweka.mdomoni unasambaza ..kila.mtu awe na tubeyake azawais msipopona.nenden.hosp..ila naamini hizo dawa nilizowaambia
Kilalakheri na mnaojibu utumbo.acheni ujinga haya n.mambo ya afya mheshimu mtu anamaanisha nini...