chumba self,sebule na Jiko.

chumba self,sebule na Jiko.

makaomakuu

Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
46
Reaction score
4
Heshima mbele wana JF.
Natafuta chumba self na sebule pia Jiko.
Maeneo:Mwenge,Kijitonyama,Makumbusho na hata Mikocheni.
Offer:Minimum Tshs.200,000/=
Kama ipo ni-PM,nitakupigia .
Asante.
 
Heshima mbele wana JF.
Natafuta chumba self na sebule pia Jiko.
Maeneo:Mwenge,Kijitonyama,Makumbusho na hata Mikocheni.
Offer:Minimum Tshs.200,000/=
Kama ipo ni-PM,nitakupigia .
Asante.

minimum?mkuu inaonekana unazo, je kama kipo kama icho afu in 180,000?
 
minimum?mkuu inaonekana unazo, je kama kipo kama icho afu in 180,000?
a
Sio kwamba ninazo ila kwa uchunguzi niliofanya chini ya hapo sitoweza pata nyumba ya ubora ninao utaka ndo maana nimeweka min 200K
 
Heshima mbele wana JF.
Natafuta chumba self na sebule pia Jiko.
Maeneo:Mwenge,Kijitonyama,Makumbusho na hata Mikocheni.
Offer:Minimum Tshs.200,000/=
Kama ipo ni-PM,nitakupigia .
Asante.

kipo mikocheni karibu na dolphin,
parking ya gari mbili,
na ki garden kwa nyuma,
bei ni tsh. 250,000/= per month.
holla back if interested.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom