CHUMBA NA SEBURE VINAPANGISHWA KINYEREZI

CHUMBA NA SEBURE VINAPANGISHWA KINYEREZI

PENTAKINYE

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2019
Posts
817
Reaction score
829
Ndugu wana jf kama kunamtu anahitaji hilo hapo juu nifuate PM chumba na sebure kinyerezi mtaa wa kariakoo tafadhari
 
Ndugu wana jf kama kunamtu anahitaji hilo hapo juu nifuate PM chumba na sebure kinyerezi mtaa wa kariakoo tafadhari
mkuu habari za pm wapi wapi, weka details za nyumba hapa, picha, kodi na mawasiliano mtu akilidhika ndo atakufuata huko PM au kukupigia simu.
Wabongo bana ujanjanja hadi kwenye mambo ya msingi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom