nahitaji chumba cha kupanga kiwe chumba na sebule eneo kuanzia banana hadi gango la mboto
iwe na mita inayo jitegemea
nyumba isiwe na wapangaji wengi.
nisaidieni ndugu zangu
Kipo banana, KITUNDA
Chumba master, sebule na kajiko.
Ndani ya fensi
Maji bure
Umeme unajitegemea
Unapanda gari moja mpaka gerezani, m/moja au kivukoni
Kodi 100k (kwa mwezi)