shaurimbaya
JF-Expert Member
- Oct 3, 2013
- 1,915
- 2,339
Mziinzi ana alama gani?habari wadau..
chumba na sebule kinapangishwa ubungo external 120,000 kwa mwezi.. ( kodi miez 6)
kipo ndani ya fence, kuna umeme na maji..
choo cha nje...( sio master bedroom)
hatakiwi dalali... kama unajijua dalali pita kimya kimya..
hatakiwi mzinzi pia... maana ni compound decent.
0718 537216
Punguza bei kidogo, hiyo bei ulioweka kubwa sana mkuu
Mziinzi ana alama gani?
UMEME NA MAJI NI VYA KUSHARE AU INDIVIDUAL?habari wadau..