Chumba na sebule self kinapangishwa

Chumba na sebule self kinapangishwa

maula mrs

Senior Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
114
Reaction score
18
Chumba
self na sebule na jiko pia kuna choo cha nje kwaajili ya wageni.Kimara
baruti nyumba zinazotazama morogoro road.150,000/=kwa mwezi,kodi ya
miezi 6. 0758373037
 
Wakati fulani niliwahi kufikiria kuanzisha online platform ambapo watu wangeweza kuweka nyumba na vyumba vya kupangisha ili kwa mhitaji wa chumba apite hapo na kuchagua anachohitaji, lengo kuepusha usumbufu wa kuzunguka mitaani kutafuta chumba cha kupanga. Labda tuwaombe moderators wa JF watuwekee jukwaa la namna hiyo kwa sababu naamini wahitaji wa huduma hii ni wengi sana kwa kuzingatia hadhira ya JF. Ipo mitandao currently inayotoa huduma kama hiyo ila ni kwa majumba expensive sana sio hizi zetu za Tabata na Sinza (Maisha yetu ya kawaida).
Tujaribu kuliweka hili wazo vizuri tupate jukwaa la namna hii hapa JF.


Cc; Buchanan, Maxence Melo,
 
Nice idea mkuu,yaan itasaidia sana hasa kuepuka usumbufu wa kuzunguka na madalali.Itakuwa poa m2 anapost picha za rum na maelezo ya kutosha kuhusu nyumba.Hope JF itakubaliana na hy idea!
 
Natafuta kishenz chumba na sebule master mitaa ya ubungo, mawasiliano, in short karibu na UDSM. Bajeti yangu 100 mpaka 150.
0715565852
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom