Chumba na sebule kinapangishwa ubungo external

Chumba na sebule kinapangishwa ubungo external

shaurimbaya

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2013
Posts
1,915
Reaction score
2,337
heshima kwenu brothers and sisters..
Nyumba ya uani inapangishwa ubungo external nyuma ya ukuta wa export processing zone..

1.Ina umeme na maji ( ya dawasco)

2. Ina chumba na sebule .. Plus choo cha nje

3. Ipo ndani ya fence

4. Hakuna Tiles ( zimewekwa chooni tu)

5. Bei ni laki 1 kwa mwezi kodi miezi sita.

Ni hayo tu kwa herini..

0718537216
 
Picha ya mandhari yenyewe
 
Back
Top Bottom