Chumba na sebule kinapangishwa Makulu, Dodoma

Kibuje

JF-Expert Member
Dec 10, 2018
292
286
Habari ya leo wanajamvi,

Kama kichwa cha habari kinavyojieleza. Chumba na sebule kinapangishwa Makulu, Dodoma njia ya kwenda Udom.
Gharama yake ni nafuu kabisa, tsh. 60,000 kwa mwezi na unalipa miezi mitatu. Kwa mawasiliano zaidi nicheki +255759 688 859




 
Hili ni banda la kuku au?
Wageni ambao mnakuja Dom,sehemu nzuri za kupata vyumba,ni Kisasa,Irazo,Line Polisi,area C,area D,miyuji,Maili mbili.au Uzunguni,


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni banda la kuku au?
Wageni ambao mnakuja Dom,sehemu nzuri za kupata vyumba,ni Kisasa,Irazo,Line Polisi,area C,area D,miyuji,Maili mbili.au Uzunguni,


Sent using Jamii Forums mobile app
Usikariri mkuu, kuna watu wana mijengo ya maana kwenye maeneo ya kawaida tuu! Usichukulie watu poa aisee
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…