Chumba na sebule kinahitajika

Kidowle

JF-Expert Member
Oct 10, 2016
1,484
3,257
Chumba na sebule kinahitajika bajeti isizidi Laki eneo lolote lile Dar es salaam
 
Nitafute mimi kipo savei karibu na mliman city. Bei yake 180 kina sebule choo na jiko lake
 
Chumba na sebule kinahitajika bajeti isizidi Laki eneo lolote lile Dar es salaam
Pia Boko beach,Ununio.Mbweni au maeneo ya Basihaya 2rooms selfcontain bajet 2kilo.Ni PM tafadhali.Kuhamia wakati wowote kabla ya aprli
 
Kisizidi laki mkuu 2 kilo si laki mbili hizo sasa
 
kuna chumba sebule tabata pembeni ya barabara ya lami tuwasiliane 0657145555
 
Jiko, choo, sitingroom, na room vyote kwa 150,000 mbezi beach, parking, maji yapo na umeme luku yako, choo ndani.
 
Chumba na sebule kinahitajika bajeti isizidi Laki eneo lolote lile Dar es salaam
Jiko, choo, sitingroom, na room vyote kwa 150,000 mbezi beach, parking, maji yapo na umeme luku yako, choo ndani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom