Chumba na sebule kinahitajika Tanga mjini

Chumba na sebule kinahitajika Tanga mjini

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,522
Reaction score
14,005
Wadau,

Nina hitaji chumba na sebule au vyumba viwili na sebule vya kupanga katika maeneo yaliyo jirani na Usagara sekondari.

Kama nikipata upande wa nyumba inayojitegemea au nyumba ndogo ya vyumba viwili na sebule itanifaa zaidi.

Ninahitaji nyumba isiyo na wapangaji wengi.

Mawasiliano: 0787140432 au niPM.

Asanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom