Mkuu, nahitaji kuanzia tareh 25 January, vyumba 2 na sebule , jiko. Wastani hupatikanaje ktk maeneo yako ya udalali? Maji na UMEME, ulinzi na kufikika gari.
0687072066
Madalali mnasababisha nyumba zipande bei bila sababu ya msingi. Kaja Magufuli nyumba tutakuwa tunalipa mwezi kwa mwezi hamna cha miezi sita wala mwaka. Bei zitapangwa na Serikali kutokana na eneo na standard ya nyumba.
Madalali mkatafute kazi ya kufanya
Chumba kipo Mwenge opposite magorofa ya Jeshi near TRA, chumba ni master (self) na jiko bei ni 180,000, per month maongezi yapo maji yapo na nisehem salama.
Pia Kuna nyumba Kama Kawa, kama unahitaji nyumba na vyumba nichek kwa 0713415537.