Chumba kina choo pamoja na sitting room , kipo ndani ya gate gari inaingia luku mnatumia familia 2 . kipo maeneo ya Fao hapa kinondoni , kodi laki 140,000 unaweza lipa hata miezi 6. mimi ni dalali 0657145555
Maisha ya DSM bwana..daahh..chumba kimoja na sitting room 140,000/=yaani huku kwetu Mafinga/Njombe unapata Nyumba nzima chini ya bei hiyo..kweli kuishi mjin ni form six..!!