Hicho sijui kama kuna usalama kwa kweli, yaani bora wanao lala ambazo hazijamalizika...Vipo mkuu maeneo ya jangwani pale, maeneo ya kigogo au kule yombo, pia hata mitaa mingine ila hali yake wanaijua wenyewe wa kitaa
Aibu ya nini sasa hapo! Mwanaume haoni aibu kutafuta pesa labda kama una haiba za kike, yani kupiga rangi hapo ndio unasema aibu? na rangi yenyewe imeshapigwa
After all nimesema atakae vutiwa anichek, kama hujavutiwa pita kushoto... umbea wa inster huku haupo.. Hapa kazi tu
Nani wa kukupa nyumba bure, hapo hamujaelewa kipo kwenye ukarabati wa mwisho hivyo yeye dalali amepiga picha ili akitafutie wateja mapema.DUU HIKI CHUMBA HATA KAMA NI BURE NIKIPEWA MIE SITAKI.KIMEKAA KUSHOTO KAMA MWANAMKE ALIEVUNJIWA BIKIRA AISEE NI BALAA MZEE BABA
@jingalao hahahhaha
DUU HIKI CHUMBA HATA KAMA NI BURE NIKIPEWA MIE SITAKI.KIMEKAA KUSHOTO KAMA MWANAMKE ALIEVUNJIWA BIKIRA AISEE NI BALAA MZEE BABA
Aliyekuwa humo awali alikuwa kada wa Ccm.
POVU LA NINI WAKATI hata kuweka mazingira ya kuvutia hamna.. nyumba kuna kichaka kama nyumba ya nyoka fanya usafi pavutie ndipo utume
Mkuu anaelelamika hiki chumba hakijui! ila kwa master za baruti ni vizuri, kama hawajafyeka mm hapo hayanihusu, ila mazingira ni mazuri,
Nayajua na nimeshawahi kuishi, mtu hatakaelalamika sana jua kutoa 100k kwake ni mtihani.
Kiuhalisia siwezi kubishana na wwewe inategemea wewe unaishi nyumba ya aina gani. Hiyo nyumba ni chafu mazingira machafu, madirisha hayana hewa y akutosha wewe amini kwamba ni pachafu
Yani hapo mzee baba hapana tofauti na mtu aneishi chooni ama kwenye banda la nguruwe.shubaaamiti.Kiuhalisia siwezi kubishana na wwewe inategemea wewe unaishi nyumba ya aina gani. Hiyo nyumba ni chafu mazingira machafu, madirisha hayana hewa y akutosha wewe amini kwamba ni pachafu
Yani hapo mzee baba hapana tofauti na mtu aneishi chooni ama kwenye banda la nguruwe.shubaaamiti.
Na labda nikuambia ukweli, watu ambao budget yao haikufikia hiyo ndio nyie mnaolalamika, sema tu utafutiwe cha bei yako mkuu usione noma.Yani hapo mzee baba hapana tofauti na mtu aneishi chooni ama kwenye banda la nguruwe.shubaaamiti.
Wewe dalali Tunzo uache ubishi wa kipompoma, ndio maana hata mie nakuchanaga hadharani.
Mazingira ya hiko chumba hata kwa picha tu hayavutii japo unasingizia eti ukarabati ulikua bado, kwahiyo mboba huweki picha baada ya huo ukarabati (shubaiti wewe!!)
Choo hakivutii kinatia kinyaa, mazingira ya nje ndio kabisaaa... Vichaka kama misitu ya Amazon.
Dalali gani unakua libishi hivi!!
fundi hakulipwa hela yake huyo...maana hayo maneno hakuna mpangaji anaweza ingiaYawezekana fundi aliekuja kurekebisha alikua ni mkereketwa...wa ccm