heshima kwenu brothers and sisters..
chumba kimoja kinapangishwa near mabibo hostel - bei ni elfu 60 kwa mwezi ( choo ni cha nje )
1.kuna umeme na maji ( ya dawasco)
3. Ipo ndani ya fence
4. Hakuna Tiles ( zimewekwa chooni tu)
5. Bei ni 60 kwa mwezi kodi miezi sita.
Ni hayo tu kwa herini..
0718 537 216
picha ku upload inasumbua nichek watsup
chumba kimoja kinapangishwa near mabibo hostel - bei ni elfu 60 kwa mwezi ( choo ni cha nje )
1.kuna umeme na maji ( ya dawasco)
3. Ipo ndani ya fence
4. Hakuna Tiles ( zimewekwa chooni tu)
5. Bei ni 60 kwa mwezi kodi miezi sita.
Ni hayo tu kwa herini..
0718 537 216
picha ku upload inasumbua nichek watsup