Chumba kinapangishwa Mwenge

Chumba kinapangishwa Mwenge

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,123
Reaction score
2,444
Chumba kipo mwenge mitaa ya TRA kinapangishwa kwa mwezi 80,000, kwa maelezo piga 0713415537
 
Chumba kipo mwenge mitaa ya TRA kinapangishwa kwa mwezi 80,000, kwa maelezo piga 0713415537

Kina kila kitu ndani namanisha kitanda, vyombo, kabati etc kwa hiyo mimi nakuja na nguo zangu tu au..........
 
Kina kila kitu ndani namanisha kitanda, vyombo, kabati etc kwa hiyo mimi nakuja na nguo zangu tu au..........

Hahaa mkuu umezoea kukaa uswahilini.. na kama mtu akikuwekea hivyo bac kakuoa?
 
Hahahaha umenifuraisha sana@ Kanch.
asa jibu bas ni chumba kimoja au jiko na choo vimo?@Tunzo
 
namba ipo kwa maelezo mkuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom