Chumba kinapangishwa Mwenge DSM bei 50,000

Chumba kinapangishwa Mwenge DSM bei 50,000

Tunzo

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2013
Posts
4,125
Reaction score
2,449
Chumba kipo mwenge near TRA, bei ni 50,000 tu, chumba ni kidogo kiasi means unaweza kuweka kitanda na kabati na meza, kinafaa kwa ajili ya mwanafunzi, mazingira ni mazuri na tulivu, kipo ndani ya geti na ni salama, malipo ni miezi 6, ukaribu ni pamoja na chuo cha kodi, Tumaini, UDSM, na ustawi. karibuni. mawasiliano ni 0713415537

Uptudate...

Chumba cha 50,000 nimeshapangisha ila vipo vya 70, na kuendelea, pia master room zipo, chumba na sebule, na nyumba nzima zipo pia,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom