Amon Mwakyabala
Member
- Feb 7, 2019
- 25
- 9
Habari Wana jf ,kama kichwa Cha habari kinavyojieleza na chumba kipo maeneo ya mabibo jirani na chuo Cha NIT chumba ni kizuri mazingira ni mazuri na usalama wa kutosha hakuna mwenye nyumba wapo wapangaji tu, Kodi ni miezi sita na 50000 kwa mwezi na 50000 ya dalali, kwa mawasiliano zaidi nicheki 0672087564 au 0754208601.




