Choo cha nje mnashea wapangaji 4, haina jiko...unapikia barazani. Umeme kushare watu 4 na mwenyenyumba 10,000 (15000 kama unafriji) kila mwezi, maji 7000, taka 2000 na ulinzi shirikishi 1000. Tangi bovu upande wa juu, umbali 1.5km toka barabaraya bagamoyo. Uko tayari