Chumba kinahitajika fasta

Abuu Kauthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 10, 2011
Posts
4,519
Reaction score
6,920
Maeneo ya kurasini, temeke mwisho, mtoni kwa azizi ally and the like, kiwe self contained bajeti 50,000/. Kama mwenye nyumba au dalali niPM fasta
 
Maeneo ya kurasini, temeke mwisho, mtoni kwa azizi ally and the like, kiwe self contained bajeti 50,000/. Kama mwenye nyumba au dalali niPM fasta

Njoo hapa Kurasin Mivinjen Self unakaa kwa 60,chumba na sebule mkuu
 
Maeneo ya kurasini, temeke mwisho, mtoni kwa azizi ally and the like, kiwe self contained bajeti 50,000/. Kama mwenye nyumba au dalali niPM fasta
Mkuu wangu self kwa 50K? Hata kama TMK vyumba ni bei rahisi lakini si kihivyo especially now ambapo wanafunzi wa TIA, Tumaini, CBE huko ulikotaja ndiko hasa wengi wao hukaa!! Kama utapata self kwa hiyo bei then u're very lucky otherwise hiyo hela ni ya chumba cha kawaida.
 
we unacho cha shilingi ngap??
 
we unacho cha shilingi ngap??
Mkuu wangu, mie hizo sio mishe zangu lakini kama upo jirani basi nenda pale kwa Aziz Ally kwenye junction ya kwenda Temeke. Ikiwa unatokea mjini, ukipinda tu kuelekea TMK, kibanda cha tatu au cha nne utakuta kuna duka dogo la hardware...hapo utakutana na ustaadh mmoja; ni long timer mitaa hii na hizo ndo shughuli zake! Mara zote anakuwa na at least one room at disposal....ila kama ni kwa Azizi; mwambie akutafutie mitaa ya Mji Mpya...nyuma ya Equator; ingawaje ni Uswahilini lakini kumetulia sana; maeneo karibu yote unafika na gari hadi chumbani kwako ukitaka!!
 
Mkuu nimeenda pale lakini kwa bahati mbaya jamaa cjamkuta, yaani kwa sasa hapatikani pale aisee
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…