amatuks Member Joined Jul 17, 2014 Posts 69 Reaction score 10 Jul 26, 2014 #1 Wadau nahitaji chumba na sebule maeneo ya kigamboni iwe self. bajeti yangu ni 150000. yeyote aliyenacho aniPM. Thanx.
Wadau nahitaji chumba na sebule maeneo ya kigamboni iwe self. bajeti yangu ni 150000. yeyote aliyenacho aniPM. Thanx.
KRISTIAN P JF-Expert Member Joined Feb 16, 2013 Posts 359 Reaction score 69 Jul 27, 2014 #2 Wasiliana na uyu jamaa Gazillionaire ni dalali kigamboni. Mimi alinitafutia nilipata wiki tu. Ni chumba sebule, choo cha ndani na jiko kwa laki 2
Wasiliana na uyu jamaa Gazillionaire ni dalali kigamboni. Mimi alinitafutia nilipata wiki tu. Ni chumba sebule, choo cha ndani na jiko kwa laki 2