Habari wadau naitaji chumba cha kupanga maeneo ya kipawa,naitaji chumba kimoja kikubwa tu kiwe na umeme,sillingbord, maji karibu yaani kisima bei20,000 kwa mwezi kama unacho ni PM
Na mimi natafuta vyumba 2 vya kulala, sebule. Maji na umeme viwepo. Bajeti yangu 150,000/= maeneo ninayohitaji tabata, riverside na external. kama unavyo ni email lmkaju@yahoo.com
Anayejua rum master nzur isivuke 150,000 mwenge, makumbusho, kinondoni anitumie picha zake kwenye email tutawacliana nko on air muda wote rooneywayne673@gmail.com