Anayehitaji chumba cha kupanga maeneo ya Tegeta Kibo Complex kwa nyuma anicheki
Kuna chumba kikubwa Kiko ghorofani, kina:
Gypsum
Ceiling fan (Panasonic)
Tiles
Dirisha la aluminium
Choo kiko Cha kushare watu wawili tuu
Note:
Nyumba Ina uzio (ukuta) peving na geti mazingira ya nyumba kwa ujumla ni mazuri Sana na yanafaa kwa mtu kijana
Bei ya chumba n 100000 kwa mwezi.
Hakuna hela ya dalali coz me ndo mwenye chumba nataka kuhama kwasababu ya umbali wa foleni kazi nafanyia Morocco. Kwa yeyote mwenye uhitaji anaicheki directly pm