Chumba cha kupanga

wwww

JF-Expert Member
Mar 20, 2012
350
252
Wanajf natafuta CHUMBA cha kupanga kwa ajili ya biashara maeneo ya Posta mpya, Kisutu, Akiba,Mnazi Mmoja au Steshen. Kiwe na ukubwa wa Sq. mita 20 - 30 hasa hasa ground floor ndio napendelea sana.

Nawasilisha kwenu wapendwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom