Chumba cha kupanga ubungo -kona

Chumba cha kupanga ubungo -kona

MTORI

Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
46
Reaction score
4
Natafuta chumba cha kupanga maeneo ya ubungo kiwe kizuri na mahala penye usalaama wa kutosha bila dalali bei anzia arobaini kisiwe river side
 
Acha ubahili bana dah! Mpatie dalali.
 
Jenga yako. unaweka masharti kibao halafu unajipangia bei
Vitu vizuri ni gharama kaka. Mtu azungushe fensi aweke kigae chini juu ceiling nzuri kuna geti na mlinzi maji mpaka chooni halafu ulipe sh arobaini. aliyejenga kakuchukulia dada'ko ?
 
Una hasira na nyumba yako!! Duh umejenga kwa mbindee ehh.!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom